ALLY REHMTULLAH AANIKA MADUDU KWENYE TASNIA YA MITINDO

NA JEREMIA ERNEST
HABARI KATIKA PICHA


ALLY Rehmtullah ni moja ya wabunifu wanaonga’ra kwenye tasnia ya mitindo hapa nchini kutokana na kazi zake kuwavutia maelfu ya wadau wakiwamo watalii kutoka mataifa mbalimbali. Kwa zaidi ya miaka 12 sasa Rehmtullah, amekuwa akifanya kazi za kibunifu...

Read latest Bingwa online.

Online newspapers at PressDisplay.